Sunday, September 2, 2012

BREAKING NEWS: MWANDISHI WA CHANNEL TEN DAUDI MWANGOSI AFARIKI DUNIA KATIKA MAPAMBANO YA JESHI LA POLISI NA WAFUASI WA CHADEMA WILAYANI MUFUNDI


Daudi Mwangosi (pichani) Reporter wa Channel Ten Mkoani Iringa, inadaiwa amepoteza maisha katika mapambano ya Jeshi la Polisi na waafuasi wa CHADEMA wilayani Mufundi.
Vurugu hizo zimetokea wakati CHADEMA wakifungua tawi lao Wilayani humo.Chanzo cha vurugu hizo hakijajulikana. Taarifa hii ni Kwa mujibu wa kituo cha Televisheni cha ITV jioni hii.

No comments:

Post a Comment