b..

B1

Wynem

animation

Sunday, September 2, 2012

AY NDANI YA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO 3 CHANEL 'O'


Msanii Ambwene Yesaya 'AY' kutoka TANZANIA ameingia kwenye tuzo za Channel O Music Video Award 2012 akiwa kwenye sehemu 3, sehemu hizo ni pamoja na 
-Most Gifted Video of the Year.
1. Speak With Your Body - AY ft Romeo & Lamyia
- Most Gifted East African video of the Year.
2. I Don't Want to Be Alone - AY ft Sauti Soul: 
- Most gifted male video of the year.
3. Speak With Your Body - AY ft Romeo & Lamyia

No comments:

Post a Comment