Wednesday, April 3, 2013

ILIVYOKUWA KWENYE MAAZISHI YA MAMA WA MSANII CYRILL YALIYOFANYIKA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini (kinondoni) jijini Dar es Salaam.
Mwili wa marehemu ukiingizwa kaburini.
Mama mzazi wa Marehemu akitupia udongo.
Msanii Cyrill akitupia udungo kwenye kabuburi la marehemu mama yake.
Baadhi ya ngugu jamaa na marafiki waliojitokeza katika maazishi hayo.
Padri akiweka msalaba juu ya kaburi.
Cyril na ndugu zake wakiweka mashada katika kaburi la mama yao.

No comments:

Post a Comment