Wednesday, August 8, 2012

MWANANCHI FC NA MWANANCHI QUEN WATINGA BUNGENI MJINI DODOMA

Wachezaji wa timu za Mwananchi FC na Mwananchi Queens zote za kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wakifuatilia mjadala wa Wizara ya Kazi na Ajira Bungeni, Dodoma jana. Timu hizo zipo mjini Dodoma kwa ajili ya michezo ya kirafiki na timu za Wabunge iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Jamhuri. Timu hizo (football) zilitoka sare kwa 1-1! 
Picha na Emmanuel Herman

No comments:

Post a Comment