Sunday, August 12, 2012

DK. ULIMBOKA AWASILI JIJINI DAR LEO MCHANA

Dk. Ulimboka akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa malimu J.K Nyerere
Ulimboka akilifuata gariri lililoandaliwa kwa ajili ya kumchuka kutoka uwanja wa ndege.
Wadau, ndugu, jamaa na marafiki wa Dk. Ulimboka wakilisukuma gari alilopanda Dk. Ulimboka.
Picha zote na Mpiga picha wetu

No comments:

Post a Comment