Monday, May 17, 2010

VIDEO MAKING VIDEO YA HUSTLERS YA BLACK GIRL FIGHTER

Kwa mara nyingine tena yule motto wa ukweli kabisa ambaye ni mdogo kiumri na ni wa kike mwenye sauti ya kawaida lakini ni wa michano kwa kwenda mbele anajulikana kwa jina la BLACK GIRL FIGHTER ila jina alilopewa na wazazi nan HERIETH NDOSSI kutoka katika kundi la AFRICA BANG’AZ, yupo katika maandalizi ya video ya wimbio wake mpya unaokwenda kwa jina la HUSTLER au PUT YO GUNS DOWN ambayo audio ifanyika katika studio za kazi one record na video yake inafanywa na mtayarishaji makini bw. John Kalage kutoka kalage’s picture.

No comments:

Post a Comment