Tuesday, May 4, 2010

Baada ya kupote kwa muda mrefu bila kuonakana kwenye luninga kama ilivyo kawaida yake mtangazaji Charles Benedicto Halawa sasa anatarajia kuja na bonge la kipindi luningani tena kwa mara nyingine. Huyu sio mwingine bali ni yule aliyekuwa akitangaza kipindi cha hot brand kilichokuwa kikirushwa katika kituop cha televisheni ya C2C, m2 mzima Charles Benedicto Halawa a.k.a CBH sasa anaandaa kipindi kama hicho ambacho kitwaitwa hivyohivyo(hot brand) ikiwa ni jam setion ambacho kinaandaliwa chini ya ERYN ambaye ndio maneger huyku ikiwa ni production kutoka hatman production.
katika maandalizi hayo ya kipindi pia yalijumuisha makundi kibao tu ya kudansi kutoka katika mitaa tofauti na shule tofauti tiofauti.

No comments:

Post a Comment