watu wakaanza kujiweka mapouder ili kamera imek sens bana
hapa wanamalizia malizia kuifunga ili kazi ianze
hapa herieth akawa anaangalia maendeleo baada ya kisikia wakifurahi baada ya kumaliza matengenezo ya chaja ya kamera na walikua tayari kwa kupigwa picha.
Hapa washkaji wako bize katika kuharakisha mambo yaende sawa
Baada ya kumaliza kushuti clip za watoto camera si ikazingua?! basi harakati za kuirekebisha zikaanza mara moja.
hapa wote wakiwa wanachukuliwa video kwa kila mmoja.
hapa madogo wakiwa tayari kwa kupiwa shoti zao.
Hapa picha zikaanza kupigwa bana
Hapa seting zikaanza bana. hapa yuop king Swalehe, kalage mwenyewe na wana wengine wakifanya seting ili waanze kushuti
baada ya kusubiri sana hatimaye kalage akatokea na shuguli ilianza mara moja bila kuchelewa kwani watoto walikuwa wamechoka ile mbaya!
No comments:
Post a Comment