Tuesday, May 11, 2010

KITAANI KAMA KAWA!

kitaani bana kuna mambo kibao tu yanaendelea kama kawa zis wik juma pili kama kawa nilikuwa pale club sasnciro kumcheki mwanangu wa kitaa CBH akiendelea kurekodi kipuindi chake cha hot brand (jam setion)
pale nilikutana na wtu kibao tu kautoka mitaa topfauti tofauti na pia niliweza kuonchonga nao mawili matatu nikiwa kama kaka mkubwa wao kutoka mtaani (mtoto wa kitaa)
Nilipata maoni kibao tu kutoka kwa wenzangu wa kityaa kuhusu burudani naniliwa ahidi kuya fanyia klazi mawazo yao.

No comments:

Post a Comment