Saturday, May 22, 2010

baada ya kusubiri sana wtoto wakwashikwa nanjaa bana ikabidi wale kidogo kisha waendelee kusubiri.
baada ya kushiba watoto michezo lazima bana. ..........hapa ni katika kumsubiri tu mchiz kalagebaada ya michezo kibao na kalage kutotokea watoto wakanza kuchoka bana
Uswazi ni uswazi tu!..... ....hapa walikuwa wanawaangalia wtoto wawili waliofika pale na kuanza kushangaa kundi letu huku wakionyesha kushangaa zaidi watoto waliochora nyuso

hapa watoto ndio walikuwa wakifika na kuanza kuwatafuta watoto waliocchora kwani walikuwa wamekaa kwa nyuma!


wakawafikia bana, ikabidi wapige nao picha kiaina

King Swalehe akiwa amepoz na dada herieth

Alianza hivi bana katika kuliangusha.

Hapa mtoto alichoka kabisa kusubiri ikabid aangushe kidogo kuvuta muda huka tukiendelea kumsubiri kalage
Nuhu (kushoto) ambaye ndio projuza wa kazi one rec. akiwa amepoz na mwana mmoja aliyekuja kutupa sapoti katika kukamilisha mambo.

Mwana harakati akiwa na producer mahiri anaechipuykia

Herieth Ndossi akiwa kwenye pozi la huzuni baada ya kumsubiri kalage kwa muda mrefu

Hapa watoto wa ukweli waliokuja kuendeleza harakati wakiwa kwenye pozio la kukaa.

kama kwaida mwaneo wa kitaa nilikuwa pande za mwananyamala pale katika ofisi za mtu mzima John Kalage nikishuhudia video ya mwanaharakati wa kike mwenye michano ya uykweli mwnadada HERIETH NDOSSI a.k.a Black girl fighter pale tulikuwa na wana kibao tu wakifanya mambo kwa kumpa kampani mwanaharakati mwenzetu.

No comments:

Post a Comment