Thursday, May 27, 2010

RED EYE'S NI NOMAAAAAA!

HAPA NIMEKULA POOZ GOLINI!
HAPA MACHO YALIKUBALI KINOMAA!

Hapa ndio goli letu la PAMBA ZA KIJANJA


Ama kweli ugonjwa ni ugonjwa, hakuna ugonjwa mdog hata siku moja! Hii waniita RED EYES imeni shika kwa muda wa siku tatu tu lakini liuona kama ni wa siku 30 kwa maana maumivu yake sio ya kitoto asikuambioe mtu. Yalianza kama utani nikiwa kazini ikabidi nitoroke niende hsptl kumuona dokta nikapewa dawa na siku iliyofuata nilishindwa kabisa kwenda job kutokana na maumvu makali ikabidi nilale hom lakini kama kawaida mimi mtoto wa kitaa sjiazoea kulala mchana bana ikabidi niende nika kae golini niwadake wateja wawili watatu

No comments:

Post a Comment