Wednesday, January 2, 2013

KUTOKA NYUMBANI KWA SAJUKI (TABATA-BIMA) LEO MCHANA


Mke wa marehemu, Sajuki, Wastara Juma, akiwa mwenye simanzi kwa kumpoteza mumewe.

Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani leo.

 Baba mzazi  wa Sajuki akiwasiliana na ndugu na jamaa…
Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.

No comments:

Post a Comment