Thursday, October 1, 2015

TIMU NIMES'TUKA YAENDELEZA KAMPENI JIMBO LA IGUNGA NA CHOMA

Msanii Kitale akizungumza na wananchi wa Choma
Msanii Stan bakora (katikati) akizungumza na wananchi wa Choma
Msanii Kajala akizungumza na wananchi wa Choma
Msanii Aunt Ezekiel akizungumza na wananchi wa Choma
Msanii Ndende akizungumza na wananchi wa Choma
Msanii Skyner Ally akizungumza na wananchi wa Choma
Msanii Mboto akizungumza na wananchi wa Choma
Miss Tanzania 2014/15, Lilian akizungumza na wananchi wa Choma
Wasanii, kutoka kushoto ni Rich One, Juma Nature na Inspector Harun wakizungumza na wananchi wa Choma
Baadhi ya wakazi wa kata ya Mwaganga wilaya ya Igunga wakifuatilia Mkutano.
Baadhi ya wakazi wa kata ya Mwaganga wilaya ya Igunga wakifuatilia Mkutano.
wasanii, Aunt Ezekiel na Inspector Harun wakiwasili eneo la mkutano katika kijiji cha Mwaganga kata ya Igunga
Msanii Aunt Ezekiel akizungumza na wananchi wa kata ya Mwaganga wilaya ya Igunga

Msanii Aunt Ezekiel akizungumza na wananchi wa kata ya Mwaganga wilaya ya Igunga
Baadhi ya wakazi wa kata ya Mwaganga wilaya ya Igunga wakifuatilia Mkutano.
Msanii Tausi akizungumza na wananchi wa kata ya Mwaganga wilaya ya Igunga
Picha Zote na Sule Junior

No comments:

Post a Comment