
Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador, Jackline Chuwa akikabidhi msaadawa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwaudhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life.

Washiriki wa Miss kilimanjaro 2015 wakiwa na baadhi ya watoto wa Uru na Rau Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro

Warembo wanaowania taji la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakishindana kuvuta kamba na Wafanyakazi wa kampuni ya Dream for life.
No comments:
Post a Comment