
Chid Benz
Anaishi kwa maam yake, Ilala pale maflat ghorofa ya juu kabisa

Jux
huyu pia anatumia zaidi mpunga wa mama kufanyia promo ya nyimbo zake still njemba inaminya home japo yupo china ila akirudi movie linaendea kwa mama jux

GosBy
huyu jank kwa mama ndio kila kitu anaitwa agripina

Dullayo
nyumbani ni majumba sita na hakuna mipango ya kutoka hapo born home die home
Chanzo ni HAPA
No comments:
Post a Comment