Friday, September 13, 2013

ILIVYOKUWA KWENYE UAANDAAJI WA VIDEO YA WIMBO, MWANAMBUZI YA WYNEM, VIDEO INAFANYWA NA KAMPUNI YA SULE'S INC.

Director, Sule Junior
Wynem akiwa na mrembo
Ass. Director, Alex Nyaganilwa (kulia) akielekeza jambo.
Bandago naye alikuwepo kushoo lav na Wynem.

2 comments:

  1. nimekusoma mzazi, dondosha mzigo huo tuuone hamu inazidi arifu

    ReplyDelete
  2. usijali mzazi! kila kitu kitakuwa pouwah muda sio mrefu! naimani mtaupenda huu mzigo!

    ReplyDelete