Monday, May 23, 2016

PUFF DADDY NA JAY Z KWENYE SHOW YA BAD BOY FAMILY REUNION

133473E78C00000578-3602925-image-m-52_14638777509823473E51400000578-0-image-a-38_14638750762973473EA2800000578-3602925-image-a-53_14638778454363473EFCE00000578-3602925-image-m-51_1463877726793
Jay Z na mshkaji wake wa muda mrefu Sean ‘Puff Daddy’ Combs walionekana pamoja huku ikiwa ni sehemu ya Jay  kuonyesha mapenzi kwa kundi la Bad Boy Family kwenye tour yao ya kuja pamoja kama record lebel kubwa duniani.
Show hii ya kwanza imefanyika mjini Brooklyn nyumbani kwa Jay Z ambapo Combs alimuita  Jay Z ‘Kaka Yangu’ wakati anamtambulisha kwenye stage aje kufanya nae show. 
‘Bad Boy’ wamesherehekea miaka 20 kwenye game la muziki duniani.

No comments:

Post a Comment