Wednesday, May 11, 2016

BONDIA SAJJAD MEHRAB KUTOKA IRANI AWASILI KUMVAA THOMASI MASHALI MEI 14 TAIFA

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' kulia akiwa na rais wa PST Emanuel Mlundwa pamoja na kocha wake baaa ya kutua nchini kwa ajili ya kugombania mkanda wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa 

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'  kulia akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiongea na wahandishi wa habari mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashili utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa 

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Picha Zote na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment