Friday, May 23, 2014

MAANDALIZI YA SHOO YA KILI TOUR, KESHO MJINI MOSHI YAKAMILIKA

 Ni mwanamuziki Ommy Dimpoz naye akiongea na mashabiki Kupitia kituo cha redio cha Kili FM
Mandhari ya eneo la tukio kama yalivyoone
Mwanamuziki Hamis Mwinjumah akiongea na mashabiki wa muziki wa mkoa wa Kilimanjaro, kupitia Redio ya Kili FM


No comments:

Post a Comment