Friday, July 4, 2014

ARUSHA KIMENUKA, BOMU LALIPUKA KARIBU NA SOKO LA KILOMBERO, LARERUHI KADHAA

PhotoPhotoPhotoPhoto
Kwa habari tulizozipata leo ni kwamba majira ya saa kumi jioni kumetokea mlipuko wa mabomu katika mitaa ya Ngarenaro nyuma ya soko la Kilombero.
 Chanzo cha mlipuko huo hakijajulikana hadi hivi sasa.
Bomu hilo limesababisha uharibifu mkubwa katika eneo hilo huku majeruhi hadi hivi sasa wako katika hospitali ya Mount Meru. 

No comments:

Post a Comment