Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Mbunge wa Mwibara(CCM) Mhe. Kangi Lugola akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Fakharia Shomar Khamis (CCM) akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Mbunge wa Ukonga ( CHADEMA) Mwita Waitara akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Naibu Waziri wa Kilimo Uvuvi na Ufugaji Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Mbunge wa Urambo (CCM) Magreth Sitta akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Mbunge wa Iringa Mjini ( CHADEMA), Mhe. Peter Msigwa akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Mbunge wa Shaurimoyo ( CCM), Mattar Ali Salum akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bungela Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
Wajumbe nane kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia shughuli za kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment