Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi wa Ufaransa Bi. Beatrice Alperte, Ikulu jijini Dar es salaam. alipokuwa akifanua jambo mapema leo , Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak alipokuwa akifanya mazungumzo nae mapema leo, Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment