Baadhi ya wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini wakifuatilia mkutano
Baadhi ya wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini wakifuatilia mkutano
Miss Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima akizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini wakifuatilia mkutano
Mgombea ubunge jimbo la Nzega Vijijini, Hamis Kigwangala (kushoto) akifuatilia mkutano ulifanyika kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.
Wasnii wa Timu Nimestuka wakiwa Jukwaani kabla ya kuzungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini leo hii.
Msanii Khamis Ndend akizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.
wasanii Juma Nature na Inspector Harun wakizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.
Mama Samia Suluhu akisalimiana na msanii Skyner Ally.
Mama Samia Suluhu akisalimiana na Miss Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima.
Mama Samia Suluhu akisalimiana na Msanii Khamis Ndede
Mama Samia alisalimiana na Wasanii wa Timu Nimestuka mara baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ndala Jimbo la Nzega Vijijini
Mama Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM waliohudhuria kwenye mkutano huo.
Picha zote na Sule Junior
No comments:
Post a Comment