b..

B1

Wynem

animation

Tuesday, May 20, 2014

ILIVYOKUWA KWENYE KUUAGA MWILI WA MUIGIZAJI NA MWONGOZAJI WA FILAMU BONGO, ADAM KUAMBIANA

Mh. Makonda akimfariji Mke wa marehemu ambaye ni Diwani wa kata ya Kunduchi, Bi Jane
Waziri wa habari, michezo na utamaduni, Fenela Mukangara (katikati) akiwasili katika viwanja vya Leaders Club
Waziri wa habari, michezo na utamaduni, Fenela Mukangara (katikati) akiteta jambo na naibu meya wa kinondoni.

No comments:

Post a Comment