b..

B1

Wynem

animation

Wednesday, February 8, 2012

BLOG YA MAMA PIPIRO YARUDI HEWANI.


Habari za kazi Wadau, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Kufuatia tatizo la kiufundi lililojitokeza hapo nyuma blogu yako yaMamapipiro ilishindwa kuendelea na utendaji wake, nawaomba radhi wadauwangu wote ambao mlikosa kupata matukio muhimu ya michezo na burudanikwa zaidi ya wiki moja,hivyo kwa sasa mambo yamekaa sawa hivyoendeleleeni kuperuzi blogu yenu kwa habari kem kem za michezo naburudani kupitia www.mamapipiro.blogspot.com.Natanguliza shukrani zangu za dhati!

No comments:

Post a Comment