b..

B1

Wynem

animation

Sunday, November 6, 2011

SALHA ISRAEL KUBEBA BEBENDERA YA TAIFA MISS WORLD LEO

 
Kitendawili cha nani atavaa taji la Miss World 2011 kinataraji kuteguliwa leo wakati wa Fainali za mashindano hayo zitakapo fanyika katikaukumbi wa Earls Court ndani ya jiji la London Uingereza.
Tanzania katika mashindano hayo ya urembo ambayo ni makubwa Duniani inawakilishwa na Miss Tanzania 2011, Salha Izarael Kifai. Tyari mapema wiki hii Salha alifanikiwa kuingia katika 16 bora ya shindano dogo la Beauty with Purpose. Sules Inc. & Entertainment na blog ya MTOTO WA KITAA  kwa pamoja wanaungana na watanzania wote popote pale ulimwenguni kumtakia kila la heri Salha katika mashindano hayo.
Mungu Mbariki Salha, Mungu ibariki Tanzania.   Miss World 2011, the 61st edition of the Miss World pageant is scheduled to take place at the Earls Court Two on November 6, 2011 in London. As part of the events, the contestants also traveled to Edinburgh, Scotland between October 23 and October 27.. Alexandria Mills of the United States will crown her successor at the end of the event. Although over 120 delegates were expected to compete, problems regarding the timely acquisition of visas prevented several candidates from participating, thus reducing the final number to 115.

No comments:

Post a Comment