b..

B1

Wynem

animation

Wednesday, November 24, 2010

KAZI YA KUTAFUTA WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL IMEKWISHA.

Hii ndio iliyokuwa kumi na tano bora ya kwanza, na hapa ilikuwa ni kabla ya kutangazwa kwa kumi bora ambao ndio watakao ingia kwenye mchakato mzima wa shindano la Giraffe Unique Model
 
Hapa ilikuwa mara baada ya kumaliza kuogelea zoezi ambalo pia lilikuwa katika moja ya shindano
Baada ya kumaliza kufanya usaili mdoz na majaji walipata msosi kwa pamoja kabla ya kutangaza modoz kumi

 
Na hawa ndio mdoz kumi waliongia kwenye kinyang'anyiro cha kumpata Unique modo
Mtu mzima SULE JUNIOR a.k.a Mtoto wa kitaa nilikuwa pande zile katika kwakilisha wanangu wote wa kitaa CHIIIAAAAAAAAAAAZ!!!

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA MTOTO NAIRAT KHALIL.

Mtoto Nairat Khalil mwenye kofia akiwa na watoto wenzake.
 
 
Nairat akisubiria kukata keki.
 
Nairat akimlisha baba yake keki.
Baba akimlisha keki mwanae
Baba na mtoto.
Nairat akiwa bibi yake mzaa baba (kushoto) na kulia ni mama yake mkubwa
Mtoto Nairat Khalil akiimba na watoto wenzake.

Monday, November 22, 2010

GIRAFFE UNIQUE MODEL - MCHUJO WA KWANZA UMEKWSHA.

  
Hizo ni picha za mahaji wakifanya usaili kwa warembo waliojitokeza katika mchujo
Jaji no.1
  
Jaji no.2
Jaji no.2 na 3 wakiwa kwenye picha ya pamoja
Jaji no.4
Jaji no. 5 kushoto akiwa na majaji wenzake.
Hawa ndi washiriki walioiongia raudi ya kwanza na wakapatikana kumi tu.
Warembo wakiwa chumba cha sindano. wakisubiria panga la majaji.
Waandishi wa habari nao walikuwepo aiseeeee.
Hata mimi MTOTO WA KITAA nilikuwepo pande zile katika kushuhudia mpango mzima unavyokwenda

ALI KIBA KATUWAKILISHA VZURI SANA KWENYE HILI SONGI.

KAMA KAWA GAZETI LAKO LA DIRA LIPO MITAANI LEO, PATA KOPI YAKO MAPEMA.

Gazeti hili lililosheheni habari za kiuchunguzi na zenye uhakika hutoka kila jumatatu na hutolewa na DIRA MEDIA GROUP. Pata nakala yako mapma kwa shilingi mia nne tu (400/-). GAZETI HILI HUPATIKANA NCHI NZIMA.

Saturday, November 20, 2010

KAA TAYARI KWA MR. DAR HENDSOME MPYA HUYU HAPA.

Kijana Sufiani ambaye ni miongoni mwa mahendsome watakaowania taji la mr. Dar Hendsome mwaka huu. Sufiani na mtangazaji wa televisheni ya Mlimani.

Friday, November 19, 2010

MIKANDAMIZO YA SAVANAH ILIKUWA HIVI BANA!

 Hapa ni wakati mtoto wakitaa nikiingia mjini banah! Si unaona mjini