b..

B1

Wynem

animation

Wednesday, December 8, 2010

VIFAA VITAKAVYOCHUANA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUPATIKANA KWA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010

Mariam Rabii
Diana Hamson
Christina Peter
Bilkis Suleiman
Asia Dachi
Carina Suleiman
Caroline Mwakasaka
Dorah Mhando
Neema Silvery
Ritha Samuel

HIVI NDIVYO VIFAA VITAKAVYOCHUANA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUPATIKANA KWA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 LITAKALOFANYIKAKATIKA HOTELI YENYE HADHI YA NYOTA TANO YA GIRAFFE OCEAN VIEW TAREHE 24 DESEMBA 2010. HOTELI HIYO IPO KUNDUCHI, JIJINI DAR
SHINDANO HILI LINAKUIA KWA UDHAMINI MKUBWA WA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL,CHANNEL TEN,GLOBAL PUBLISHERS,ROBBIAC PAINT,ALI REHMTULLAH, SULE'S INC. & ENTERTAINMENT, MTAA KWA MTAA BLOG PAMOJA NA UNIQUE ENTERTZ BLOG.

Tuesday, December 7, 2010

WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL KUINGIA KAMBINI DESEMBA13.

    Washiriki wa shindano la kumsaka mwanamitindo mwenye sifa za kitofauti zinazidi kupamba moto siku hadi siku baada ya washiriki kusubiri kwa hamu tarehe ya kuingia kambini kwa ajili ya mchuano wa kuwania taji hilo litakalofanyika desemba 24 mwaka huu katika hoteli ya Giraffe Ocean Vew iiyopo jijini Dar es salaam.
  Jumla ya washiriki kumi watakaoingia kambini ni Ritah samweli,dorah mhando,asia dachi,christina peter,diana hamson,neema silvery,bilkis suleiman,carina suleiman,mariam rabii na caroline makasaka.
 Hidaya meeda ndiye matroni wa mamodo hao wakisimamiwa na mwalimu wa dance mkwame mtaalamu wa dance  toka chuo cha sanaa bagamoyo .

  Giraffe unique model 2010 TUUNGANE KUVUMBUA VIPAJI VIPYA

Monday, December 6, 2010

KIMTAA MTAA HUWA INAKU HIVI JAPO SIO SALAMA.

Picha hizi kwa hisani ya Othman Michuzi.

CHEGE APIGWA CHANGA LA MACHO MBOMBASA.


Chege chigunda aingizwa mijini na promota feki mjini mombasa kwa kile kilichodaiwa kuwa kumkataa kimapenzi promota Eve Adhiambo mbapo taarifa zilizotufikia ni kuwa chege ameporwa fedha taslimu 550000 za kitanzania na iphone ya 1100000.
Chege ametoa muonekano wa dada huyo ili yeyote atakaemuona amkamate au atoe taarifa polisi kwa msaada zaidi naa huu ndio ujumbe kutoka kwa Chege "toa taarifa kwa TMK umuonapo TZ kama ukisahau alama yake ana bonge la mwanya. Ni mkenya ndio anaishi mombasa ukiwa msanii wa kiume anakutaka kimapenz ukichomoa anakuletea askari wake mpk hotelini coz ugenini unakua una ujanja man nimuuaji kbs yule amenifanya nipachukie mombasa kama ukoma,na sitaki kuskia wala sihta promota yoyote toka huko anipigie najua wote ni wezi tu,kwa kifupi sitopiga show tena mombasa mpaka nimtie mikononi eve."

DONT MISS DA SHOW EVERY THURSDAY @ MZALENDO PUB WITH M BAND.

Thursday, December 2, 2010

MARIAM SULEIMA LYEME ALIPO HITIMU DIGRII YAKE YA KWANZA

Huyu ndio Mariam Suleiman Lymee
Mariam akiwa na kaka yake Sule junior 
Hapa mariam akiwa na rafiki zake
Mariam akiwa na kaka yake Sule junior na Mdogo wake Hawa suleiman Lyeme
 
Mariam akiwa na mama yake mdogo (kulia), mdogo wake(kushoto) na mwenye joho na kilemba chekundu ni shangazi yake ambae wamemaliza nae digrii ya kwanza
Mariam akiwa na kaka yake Hussein Suleiman Lyeme
Mariam akiwa na shemeji yakeRashid Kitambulio
Mariam akiwa na Shemeji yake Rashid Kitambulio (kushoto)na baba yake mzazi Sheikh Suleiman Lyeme (kulia)
Sule Junior akiwa na kaka yake Juma mabula
Mariam akizungumza jambo na shemeji yake
Sheikh Suleiman na wanae. Kuanzia kulia ni Hussein Suleiman, Mariam Suleiman, Hawa suleiman Sheikh Suleiman (baba) na Salum suleima (sule Junior)
MAriam, hawa, Leila na Sophy

Sule Junior na mrembo Leila tukishow love
Mariam, Sule Junior na Leila wakishow love kwa pamoja
Dogo akikandamiza msosi
Hawa ni ndugu jamaa na marafiki waliokuwepo kwenye tukio
Watoto na mama
Wtoto na baba
kaka yangu mpendwa Hussein alinisindikiza stendi kupanda gari kurudi dar!
Next day a.k.a siku iliyofuata! mtoto wa kitaa nilipokuwa nasepa kurudi jijini dar kuendeleza harakati. huyu ni anko wangu alinasindikiza stendi baaana!

Wednesday, December 1, 2010

WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODE;L WATAMBULISHWA LEO.



Mwalimu wa warembo wanaoshiriki katika shindano la Giraffe Unique Model,Hidaya Maeda akiongea katika mkutano wa kutambulishwa warembo hao kwa waandishi wa habari uliofanyika leo katika hoteli ya Giraffe Ocean View,Kunduchi jijini Dar.

Mkurugenzi wa kampuni ya Unique Entertainment,Methusule Magesse akizungumza katika mkutano huo pamoja na kuwatambulisha washiriki wa shindano ya Giraffe Unique Model katika hotel ya Giraffe Ocean View Jijini Dar leo.

Meneja Mwajili wa Giraffe Ocean View Hotel,Elsis Mtenga akiongea kwa niaba Mkurugenzi mkuu wa Hotel hiyo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika hotel Giraffe Ocean View,Kunduchi Jijini Dar.

Baadhi ya Washiriki wa shindano la Giraffe Unique Model wakiwa katika pozz wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika hotel ya Giraffe Ocean View,Kunduchi jijini Dar.

wanahabari wakiwa mzigoni leo.

UINQUE ENTERTAINMENT Kampuni inayoandaa shindano la GIRAFFE UNIQUE MODEL leo imeamua kutangaza majina ya warembo watakaoshiriki katika fainali za shindano hilo.

Warembo hao wako kumi (10) na wanatarajiwa kupanda jukwaani katika fainali za shindano hilo zitakazofanyika tarehe 24-12-2010 kwenye Hoteli ya Girrafe Ocean View iliyoko Kunduchi Beach.

Lengo likiwa ni kuwatambulisha pia majaji wetu ambao ambao kwa imani yetu tunaamini wataweza kutufanyia kazi nzuri itakayoturidhisha. warembo wenyewe pamoa ja mashabiki watakaohudhuria katika onyesho hilo

Washiriki wetu hao kumi ni Dora Mhando, Ritha Samwel, Bilkis Suleiman, Asia Dachi, Neema Purity Walele, Careen Suleiman, Caroline Mwakasaka, Diana Manason, Mariam Rabii na Jacline Jiabe.

Majaji wetu watakua ni Ally Rehemtulah, Miriam Gerald, Steven Kanumba, Victoria Martin na Asia Idarus

Pia tanapenda kuwatangaza wadhamini wetu kuwa ni Giraffe Ocean Vew Hotel, Robialack Paint, Global Publisher blog ya uniqueentertz.blogspot.com ambayo ndio inayotoa habari zetu kwa haraka zaidi na kuweza kuwafikishia wadau na Chanel Ten televisheni.